Kanye na Kim Kardashian West wako Uganda,Kanye Amzawadia Raisi Museveni Sneakers za Yeezus

Kanye yuko kwenye mpango wa ku rekodi Album yakempya ya YANDHI na yupo nchini Uganda na mke wake Kim Kardashian West.


Walifanikiwa kukutana na Rais wa taifa hilo, Yoweri Museveni katika Ikulu mjini Kampala.
Wakiwa Ikulu Kanye West na Mkewe wamemzawadia pea ya viatu vya Yeezy na kisha kusalimia na binti wa Rais Museveni.
Walipewa majina ya ki ganda 
West, 41, received the name “Kanyesigye,” meaning “I trust,” while Kardashian West, 37, got “Kemigisha,” which means “the one with blessings from God,” the BBC reported. He also gave the pair a book about the country, entitled, Uganda, Gifted by Nature, according to CNN.
“Kim and Kanye seem very happy together. They went on safari together and a private fishing trip with North and they will visit the refugee camps together,” the source shares. “He likes to always have Kim by his side.”

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment