Mhe. Lema aitwa Polisi tena ,Asema watu wasiogope

Mbunge wa Arusha Mjini kwa Tiketi ya CHADEMA, Godbless Lema ametakiwa kujisalimisha kituo kikuu cha Polisi mkoani humo.

Kwenye ukurasa wake wa Twitter Lema ameandika Nimepigiwa simu na Polisi kwamba natakiwa kuripoti kituo kikuu cha Polisi Arusha leo bila kukosa, sijaelezwa sababu lakini wito unaonekana kuwa wa lazima sana lakini nafikiri kupigania haki ndio linaweza kuwa kosa langu kubwa. MSIOGOPE”
Hata hivyo, jana jioni Mbunge huyo aliahidi kutii wito huo huku Kamanda wa polisi mkoa wa Arusha, Ramadhani Ng’azi akiahidi Kutoa taarifa zaidi Leo.
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment