MMhh:::Mapenzi Upofu Wema apost video aki-kiss na Mpenzi wake

Wema Sepetu anazidi kuchukua headlines kwenye mitandao ya kijamii na hii ni baada ya kumuonyesha mume wake mtarajiwa kupitia ukurasa wake wa instagram 

Wema Sepetu amewakumbusha mashabiki msemo unaosema mapenzi ni upofu na kwa upande wake haoni,ujumbe huu ameuandika baada ya kupost video clip akiwa na mwanaume huyo ambaye hadi kwa sasa hajatambulika jina lake halisi.
Wema Sepetu amezidi kusisitiza kupitia ukurasa wake wa instagram kuwa kwa sasa alipo anafuraha na amechoshwa na maneno ya watu ya kila siku na kusema kuwa mangapi yamesemwa juu yake.

They say Love is Blind... And I think I cannot see... I love you Babe... That’s all that matters... US against the world... Na iwe tu...!!! NIMESHACHOKA... Mangapi yamesemwa bwaana...??? .
.
.
Bora nibaki nae tu... Oh He makes me sooo Happy... No matter what...
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment