Mwenyekiti mpya Bodi ya TANROADS Ateuliwa na Rais Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Dalmas Lucas Nyaoro kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS).

Dkt. Nyaoro ambaye ni Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), anachukua nafasi ya Hawa Magogo Mmanga ambaye amemaliza muda wake.
Uteuzi wa Dkt. Nyaoro umeanza tarehe 10 Oktoba, 2018.

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.