RC Makonda akitangaza kamati itakayotokomeza mashoga

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda muda huu  anatangaza kamati itakayotokomeza mashoga na wasambazaji wa video chafu pamoja na nyumba zinazotumika kurekodia movie za Ngono ambazo imedaiwa kuwa zimefika nyumba 24 kwenye mkoa wa Dar es salaam. Unaweza kubonyeza play hapa chini kutazama.

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment