Wanaopenda Kujua Lini Elizabeth Michael aka Lulu atafunga ndoa,na Movie yake mpya

Kwa wale fans wa Lulu Dr.cheni ambaye ni Muigizaji mkongwe na mshereheshaji wa sherehe mbali mbali Dkt. Cheni ametoa majibu ya maswali aliyoulizwa ni pamoja na ujio wa Movie mpya ya Lulu na siku ambayo ndoa Lulu atafunga ndoa.

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment