ELIZABETH MICHAEL ATOLEWA MAHARI NA MAJIZZO

Elizabeth Michael aka Lulu sasa ameshakua mchumba rasmi wa Majizzo mmiliki wa vituo vya EFM na ETV,Lulu ambaye kwa sasa yuko huru baada ya kumaliza kufungo chake cha nje,jana alitolewa mahari na Bwana Majizzo.

they look so good together 

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment