“Hamisa Mobetto anakuja kuwanyang’anya kijiti” Asema Mwanamuziki Barnaba

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Barnaba amefunguka na kutoa ya moyoni kwa kuwaasa wasanii wa kike wa muziki wa kizazi kipya alimaarufu Bongo Fleva kuhusu uwajibikaji wao katika muziki wahofie kupokonywa kijiti na msanii mwenzao ambaye anafanya vizuri na kibao chake kipya cha ‘Tunaendana’ mwanadada Hamisa Mobetto.

akiongea hayo kupitia ukurasa wake wa Instagram barnaba amefunguka hayo kwa kutoa maoni yake chini ya post ya Hamisa ambayo alipost nyimbo yake hii mpya na Barnaba kuandika kuwa:-

” Yani hala hala sana kabisa hii sauti kila hatua na sekunde zinavyozidi kugonga ndo inazidi kukomaa,narudia tena hala hala sana kwa walioshikilia vijiti wawezapokonywa vijiti
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment