Jibu la Ali Kiba Baada ya Mwaliko wa Diamond kwenye Tamasha la Wasafi Festival

 C.E.O wa Wasafi Diamond Platnumz alitangaza  kuwa anatamani sana kumuona msanii mwenzake pia akiwa kama kaka yake kwenye muziki Alikiba awepo kwenye tamasha lake la Wasafi Festival ambalo linatarajiwa kuanzishwa mwezi wa 11 tarehe 24 mwaka huu ambalo linatarajiwa kuanzia mkoani Mtwara.
Diamond alisema ” Hili tamasha ni lakwetu sote kwa wasanii wote wa Kitanzania na katika tamasha hili ningefurahi sana kama kaka yangu Alikiba atakuwepo kwenye Tamasha hili”
Lakini baada ya Diamond kuongea hayo watu walianza kuzungumza mitandaoni na kuanza kusema Alikiba hawezi kukubali huku wengine wakisema Alikiba akubali tu, na hadi kufikia wengine kusema Alikiba atatoa jibu lake baya au la kizarau sana.

Alikiba alipost kwenye ukurasa wake wa Instagram picha ya mchekeshaji maarufu sana kutoka kutoka Marekani Mr Benn,ambayo inasomeka ” Thank you for listerning to my presentation”
halafu chini ya post hiyo akaandika “Your welcome”
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment