Kusaga kazungumzia hali ya Ruge

Mkurugenzi mkuu wa Clouds Media Group, Joseph Kusaga amezungumza  kwa mara ya kwanza kuhusu hali ya kiafya ya mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji wa Clouds Media Ruge Mutahaba baada ya kuepo kwa taarifa kuwa ni mgonjwa.


Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.