MOVIES STAR IDRIS ELBA ATAJWA KUA 2018 SEXIEST MAN ALIVE NA JARIDA LA PEOPLE

Yes ni yule mkali wa filamu toka UK ambaye amekua akipendwa kutokaana na kucheza uhusika wa movie zake vyema,ana clothing line yake na pia he is sexy.
Ametangazwa na Jarida la People kwamba mwaka huu yeye ndo anachukua kijiti hiko kutoka kwa mkali wa country Music Blake Shelton.
Alijisikiaje sasa kwa mara ya kwanza kupewa hii title ??

“I was like, ‘Come on, no way. Really?'” the actor tells PEOPLE in this week’s cover story. “Looked in the mirror, I checked myself out. I was like, ‘Yeah, you are kind of sexy today.’ But to be honest, it was just a nice feeling. It was a nice surprise — an ego boost for sure.”
Idris ni mwanaume wa 33 kati ya ambao wametajwa na jarida la People Magazine kama the sexiest Mana Alive ambalo lilianza na Mel Gibson in 1985 na mwaka jana ikawa ni Blake Shelton.

Aliambiwa achague sikua zilizompa furaha kwenye maisha yake
“Being witness to the birth of my children is the biggest and best thing ever,” says Elba, who has a 16-year-old daughter, Isan, and a 4-year-old son, Winston (both from previous relationships). “I’m super doting, big hugs, kisses, lots of love-yous. I’m sure my daughter’s like, ‘All right Dad, chill out.’ My son is still at that age where he loves a cuddle.”

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment