UHURU DAY :: Rais Magufuli aahirisha Sherehe za Uhuru, “Milioni 995 zikajenge''

Rais John Magufuli ameahirisha maadhimisho ya siku ya Uhuru kwa mwaka huu na fedha zilizokuwa zimetengwa ameagiza zitumike kujenga hospitali mkoani Dodoma.
Waziri Mkuu Majaliwa amesema Rais Magufuli ameagiza Milioni 995.182 zilizokuwa zimetengwa kwa ajili ya kufanikisha sherehe hizo December 9 zijenge hospitali mkoani Dodoma.
“Hospitali hiyo itakayojengwa katika eneo la kati ya barabara ya kwenda Hombolo na Chamwino kwenye barabara ya kwenda Dar es Salaam itakuwa inawahudumia wakazi wa mkoa wa Dodoma pamoja na wananchi wengine watakaokuwa mkoani humo,” Waziri Mkuu

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.