Hamisa amejibu kwenda duka jipya la Wema na kuhusu official Lyn

Mrembo Hamisa Mobetto amehojiwa kuhusu kwenda duka jipya la Wema Sepetuambalo anatarajia kulifungua siku ya leo December 12, 2018, ambapo Hamisa amesema atakwenda dukani hapo lakini pia amejibu kuhusu Offcial Lyn amabye hivi karibuni amekuwa ni msanii wa bongofleva.

Pamoja na hayo Hamisa amehojiwa kuhusu wazazi wenzake ambao ni Majizo na Diamond Platnumz kutokumpost siku yake ya kuzaliwa. Bonyeza PLAY hapa chini kutazama alichojibu Hamisa.

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment