Kampuni ya FastJet yasimamisha safari zake nchini, TCAA yasema wamepoteza sifa za kibiashara

 Kampuni ya ndege ya FastJet imetangaza kusimamisha safari zake zote za mwezi Desemba mwaka huu hadi Januari 2019.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na kampuni hiyo, watu wote waliokata tiketi za safari kuanzia tarehe 20 Desemba watarudishiwa fedha zao.
Maamuzi hayo yamekuja baada ya Mamlaka ya Safari za Anga Tanzania, TCAA kutangaza kuwa Kampuni hiyo imepoteza sifa za kufanya biashara nchini.
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment