Kukua::Wema Sepetu Amposti Hamisa Mobetto ni Kikazi zaidi

Wema Sepetu amekua kimya kwa muda mrefu tangu aombe msamaha kwa picha na video zake zisizokua na maadili kusambaa mitandaoni.
Leo amepost movie kadhaa za tangazo la Azam tv ambazo zitaonyeshwa kipindi hiki cha Christmas.
Mashabiki zake wengi wamempongeza kwa hatua hii,but mwisho wa siku ni kazi ,huwezi acha hela sababu tu ya mtu fulani,na hawajawahi sema wana ugomvi wala nini,so kiroho safi tu.

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment