RANGI YA MWAKA 2019 YATANGAZWA NA KAMPUNI YA PANTONE NI CORAL LIVING

Kampuni ya Pantone imejipa authority ya kuchagua rangi za mwaka na mwaka huu tuli enjoy ultra violet ambayo ilikua shade ya purple ,sasa hivi color mpya ni CORAL LIVING ambayo imekua inspired na viumbe wanaoishi kwenye maji,na hii color huwa yapatikana kwenye coral reefs,mwaka huu inabeba ujumbe wa OPTIMISIM.


Are we loving it??

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment