TFF YATOLEA UFAFANUZI KUHUSU ML 300 KUTAFUNWA

Shirikisho la soka Tanzania leo Jumanne ya December 11 2018 limeamua kutoa tamko kuhusiana na kilichoandikwa katika gazeti la ‘Tanzanite’ likilituhumu shirikisho hilo kutumiwa pesa kinyume na taratibu zaidi ya Tsh Milioni 300.
TFF limetoa taarifa rasmi ya kufafanua tuhuma hizo na kueleza kuwa hazina ukweli ila kuna taarifa ambazo mashauri yake yapo Mahakamani ya miaka ya nyuma, hivyo  sio busara kuzizungumzia zaidi ya kuiachia Mahakama kwa sasa.

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment