Uchumba :: Nikki wa Pili amvisha pete ya uchumba mpenzi wake

Nikki wa Pili yupo mbioni kuuaga ukapera baada ya jana kumvisha pete mchumba wake wa muda mrefu.
Shughuli hiyo inadaiwa kufanyika huko mkoani Arusha ma kuhudhuriwa na wasanii wenzake akiwemo Joh Makini, Dogo Janja, Lord Eyes.
Baada ya shughuli hiyo fupi, rapa huyo aliandika “Queen, malkia, mwenye moyo wangu…….nuru ya uzuri wako imulike njia ya maisha yetu…..Nakupendaaaa sanaaaaaaaaa #sikuyetu ahadi ya kwanza nimetimiza.

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment