Vanessa Mdee aja na Viatu vya watoto wa kike #BorastarbyVanessaMdee

Yes Msanii wa Bongo Fleva Vanessa Mdee amekuja na viatu vya watoto wa kike vya shule ,vilivyopewa jina la #BoraStarbyVanessaMdee .
Today we launched #BoraStarByVanessaMdee I designed this for all the Afrikan girls dreaming out loud. Anything is possible. Available in all Bora stores. Ilikuwa ndoto yangu kutengeneza bidhaa itakayonufaisha na kuboresha maisha ya msichana wa kiTanzania/wa KiAfrika leo nimetimiza ndoto yangu, nasema Asante Mungu. Viatu vya #BoraStarByVanessaMdee @borafootwear ni kiatu cha shule kinapatikana katika maduka YOTE ya Bora na pia tunatafuta wakala piga simu namba 0759272009 Celina. ๐Ÿ‘ž #SwimmingInJesusJuice

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment