Mastaa waliohudhuria Party ya msemaji wa Simba SC Haji Manara Hyatt DSM

Msemaji wa Simba SC Haji Manara alifanya sherehe fupi ya kusherekea miaka kadhaa ya kuzaliwa kwake jana tarehe 27 .
Ambapo baadhi ya watu maarufu pamoja na viongozi walialikwa kwenye shughuli hiyo iliyokuwa na uzinduzi wa bidhaa ya perfume ya Haji Manara pamoja na foundation yake ya kusaidia watu wenye albinism.Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment