Mastaa watano wanaovaa nywele za gharama Bongo


Kwa wale wanaopenda nywele za bandia aka ma wig au ma lace wig basi jina la Aristote sio geni masikioni mwenu,yeye ni maarufu kwa kuwauzia wadada nywele hizi za gharama,na jina lake limekuwa maarufu mtandaoni kutokana na style yake ya kuwauzia nywele watu maarufu, ameitaja list ya mastaa wanaovaa nywele za gharama Bongo ambapo kati ya hao amemtaja Irene Uwoya kuwa anaongoza kwa kuvaa nywele mara moja na kutokuirudia tena.

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.