Kipi bora mwanaume kuoa mwanamke mtu mzima au mwanamke kuolewa na baba mtu mzima?

Kipindi cha DADAZ cha Eatv kina discuss kipi bora baada ya mitandao ya kijamii kujaa maoni kuhusu ndia ya Ben Kinyaiya ambaye ameoa mtu mzima ,na Mh.Kapuya mwenye miaka 74 ameoa binti wa miaka 25.
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment