Mambo ni Moto :: Queen Darlen Amcharukia Tanasha


Ikiwa siku si nyinngi mwanadada Tanasha Dona kutambulishwa ukweni kwa mume wake mtarajiwa, mwanadada Queen Darlen ambae ni wifi wa mwanadada tanasha amefunguka na kutoa povu kali kuhusu wifi yake huyo bila kujali ugeni wa wifi yake.

Mwanadada huyonalikuja na maneno makali hasa baada ya kuulizwa kwanini hakuwepo katika tukio hilo muhimu la kifamilia ambapo mwanadada huyo aliaonekana kujibu kwa hasira lakini pia majibu yake yaliweza kuonyesha wawili hao hawaivani kama  mawifi waliopita.

Queen darlena ambae mara zote amekuwa akitokea katika matukio ya familia hiyo , alipoulizwa kwanini awamu hii hakuwepo katika tukio la kumtambulisha wifi yake alionekana kujibu kwa kukejeli na kusema kuwa tanasha ni mtu kama watu wengine  tu hivyo akimaanisha kuwa haikuwa na haja sana ya yeye kuwa hapo.

hata hivyo jibu hilo linatafsiriwa vibaya na kutokuwepo kwake kwa sababu ni kawaida kwa familia hiyo na marafiki kukusanyika hasa linapotokea  jambo lolote la kukusanyika pamoja , inaweza kukumbukwa kuwa hata Zari alipogomba ana esma , mwanadada Esma hakuwa akitaka kanisa kujihusisha na kitu  chochote kinachohusiana na zari akiwa na kaka yake.
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment