Manara ataka kuwa mfano wa kuigwa

Afisa Habari maarufu hivi sasa nchini anayeiwakilisha klabu ya Simba, Haji Manara ameelezea namna anavyoisherekea sikukuu ya wapendanao (Valentine Day) inayofanyika terehe 14, Februari ya kila mwaka.
Katika kufurahia siku hiyo, Manara amewataka wapenda nao wote nchini Tanzania kutoitumia vibaya siku hiyo kwa kufanya maasi, bali waitumie kwa kufanya mambo mema.
Maneno hayo ameyaandika katika ukurasa wake wa Instagram, ambayo yanasema,


Kwa hisani ya Unde door wote nchini niwatakie usiku mwema na niwape happy valentine ila msitumie huo uvalintine kufanya maasi 
Niigeni mm kaka yenu kwa kutenda yalio mema na kuyakwepa yale maovu 
Good night and happy Valentine my people
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.