Huu Ndio Muonekano wa Mchumba wa Ben Pol, Anerlisa Kabla na Baada ya Kupungua Mwili

Anerlisa Muigai alikua na kilo zaidi ya 100 kabla ya yeye kumua kupunguza uzito wa kutosha tu,The Keroche heiress sasa hivi anataka kusaidia watu wenye uzito mkubwa waweze kupungua na wao kama yeye.

Safari ya Anerlisa ya kupungua uzito imekua ni subject of discussion kwa muda mrefu sasa wengi wakisema amekata utumbo ili kupungua wakati yeye anasema amepungua kupitia mazoezi na kula health.
Binti huyu mwenye miaka 31 ametangaza kwamba ana plan ya ku anzisha App yake ambaye ita focus kwa watu wenye interest ya kupungua uzito.


“If losing weight was as easy as a,b,c,d everyone could do it and nobody would have a excuse about it. I am so excited that next week 15th March 2019. I will change some of your lives, I have created an App that will EASILY help you start living a healthy life, loose the excess weight but most importantly to get back your confidence,” wrote Anerlisa Muigai.
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment