Mtanange wa Maneno kati ya Diamond Platnumz na Official Lyn

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva na C.E.O wa WCB Diamond Platnumz ametumia ukurasa wake wa Instagram kuaniki meseji za WhatsApp alizokuwa akitumiwa na msanii wa kike ambaye hapo nyuma alikuwa Video vixen na alishawahi kufanya kazi na baadhi ya wasanii wa WCB akiwemo Rayvanny.
Mwanadada huyo pia alishawahi kuonekana yuko karibu na Diamond na kuhusishwa kimapenzi na Diamond na hata alipokuwa akiulizwa kwenye baadhi ya mahojiano mwanadada huyo alikuwa anaweka wazi kuwa na mahusiano na Diamond na hata kuna baadhi ya matukio ambayo Diamond aliwahi kuyafanya kama vile sherehe na kuonekana mwanadada huyo katika matukio hayo.
Hizo ndio meseji alizopost Diamond Platnumz zikimhusu mwadada Official Lyn.

Baada ya Diamond kupost hivo na kufuta mwanadada huyo nae hakukaa kimya akamjia juu Diamond Platnumz kwa kupost maneno haya.


Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment