Ruge kuzikwa kiheshima leo na maelfu ya watu Bukoba

Leo ndio siku ambayo mwanaharakati Ruge Mutahaba ambaye alikuwa mmoja kati ya wahasisi wa Clouds Media, atazikwa huko nyumbani kwao Bukoba.


Mapema jana mwili wa Marehemu Ruge Mutahaba uliwasili kiwanja cha ndege cha Bukoba majira ya saa 3 asubuhi na kupokewa na maelfu ya watu ambao waliuzingira uwanja huyo.

Wakati mwili umewasili jana wakazi wa Mji huyo walionekana wakilia kwa uchungu baada ya kumpoteza Ruge ambaye anadaiwa wamewafungulia njia watu wengi.
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment