SIMANZI :: Ruge azikwa na maeflu Bukoba

Ruge Mutahaba aliyekua Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media, aliyefariki wiki iliyopita tarehe 26 mwezi February wakati akifanyiwa matibabu huko nchini Afrika Kusini baada ya kuugua kwa muda mrefu, amezikwa leo katika makaburi ya familia nyumbani kwao Bukoba.

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment