Ommy Dimpoz X Alikiba X Cheed waachia video ya wimbo mpya ‘Rockstar’

Wasanii wa muziki kutoka lebo ya muziki ya Rockstar ambao ni Ommy Dimpoz, Alikiba na Cheed wameachia video ya wimbo mpya unaokwenda kwa jina la Rockstar. Wimbo hii imefanywa na Director Kevin Bosco JNR kutoka kenya.
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment