Bashiru alivyomuombea Makonda msamaha ,Makonda “naomba radhi

Katibu Mkuu wa CCM Bashiru Ally akiongea ibadani “Baba Askofu hatujafanya kazi ya kuwaandaa vijana wetu kuwa Viongozi bora, sasa tunavuna matunda yake, naomba nimuombe msamaha kijana wangu Makonda, nilimsema Simiyu mara ya kwanza, akaja ofisini analia, ameanza kujirekebisha”.


RC Paul Makonda akiomba msamaha katika ibada ya kuuaga mwili wa Dr. Mengi  “Namshukuru Katibu Mkuu kwa kuomba radhi kwa niaba yangu, hakika ni upendo wa hali ya juu, nafikiri labda tafsiri ndiyo ilikuwa shida, nimemsifia Mchaga mbele ya Wachaga wenzake, nitaendelea kuuenzi na kuheshimu mchango wa Dr. Mengi katika kuhudumia watu wenye ulemavu katika Mkoa wa DSM”
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment