katazo Mifuko ya Plastiki “Wasitumie nguvu, wasinyanyaswe na kuwaonea”

Ikiwa umebaki siku 8 ili agizo la kutotumia mifuko ya Plastiki kuanza kutekelzwa, Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mwita Waitara amesema sheria imepitishwa na kanuni zimetangazwa, watu wasinyanyaswe, wasitozwe faini papo kwa papo bali waelimishwe.


Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment