KIASI GANI CHA KUWEKA KWENYE AKIBA YA DHARURA


  KIASI GANI CHA KUWEKA KWENYE AKIBA YA DHARURA /EMERGENCY FUND .⠀ ⠀
Unaweka pesa za miezi 3 mpaka 6 ya living expenses zako/matumizi yako mfano chakula,usafiri ,mavazi ,kama una ada za shule etc.⠀

So unaweka hela za matumizi yako ya mwezi ,unachukua kiasi cha miezi mitatu ndo unaweka.⠀
Mfano kama matumizi yako kwa mwezi ni laki mbili sasa unaweka laki sita .⠀
Kama unataka ku save kwa miezi sits utaweka 1.2 Million .⠀
WAPI UHIFADHI AU UWEKE AKIBA YA DHARURA .⠀
Weka fedha zako sehem ambayo ni rahisi kuzifikia ila sio rahisi sana .⠀
Usiweke kwenye Bank account yako utazichanganya na fedha zako zingine ziweke zenyewe.  

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment