Maelfu ya watu waupokea mwili wa Dkt. Mengi Kilimanjaro, haijawahi kutokea

 Wakazi wa Moshi na maeneo mbalimbali ndani ya Mkoa wa Kilimanjaro leo Mei 8, 2019 wamejitokeza kwa wingi kuupokea mwili wa aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa IPP Limited, Dkt. Reginald Mengi.

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment