Mama Janeth Magufuli, amewasihi Waislamu nchini kuendelea kuliombea Taifa muda wote

Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli, amewasihi Waislamu nchini kuendelea kuliombea Taifa muda wote, hususani katika kipindi hiki cha Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani na kuendeleza mshikamano bila kujali dini ama kabila tabaka zao.

Kipindu cha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ni kipindi cha toba, ni kipindi cha kutenda matendo mema na kujizuia na vitendo viovu” Mama Magufuli
Binafsi nakumbuka zamani nikiwa mdogo tulikuwa tunatafuta Mwislamu aje atuchinjie kuku ama mbuzi ama ng’ombe, ni kutokana na utamaduni huo uliojengeka miongoni mwa Watanzania, leo nimeguswa kutoa sadaka yangu kwa ajili ya ndugu zangu wenye uhitaj” Mama Magufuli


Credit::MillardAyo
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment