Mambo ya Fedha ::,Muongozo wa Emergency Fund/Akiba ya DharuraMuongozo wa Emegency fund /Akiba ya dharura

Akiba ya dharura ni muhimu sana kwenye Personal Finance

Emergency Fund ni nini???🤷🏽‍♀️🤷🏽‍♀️
Ni kiasi cha fedha kinachowekwa pembeni kwa ajili ya emergency /dharura .

Dharura ni kitu chochote au situation inayotokea bila kutegemewa na inahitaji fedha ili kutatuliwa.
Kama :Kusimamishwa au kufukuzwa kazi
:Ugonjwa
:Gari kuharibika :Misiba

Akiba ya dharura haipo kwa ajili ya :kununua vitu vipya unajiamulia kujispoil na viatu vipya au sufuria ziloingia sokoni.
:kununua zawadi :kwenda mapumzikoni/vacation
:kutoka out kula na kunywa

FAIDA ZA KUA NA AKIBA YA DHARURA/EMERGENCY FUND :Peace of mind /Pumziko la akili na Amani ya roho am sure ukifikiria tu laki zako kadhaa ume save unakua huna pressure.
:Money Saved ukiwa na akiba ya dharura unakua ni pesa zile ume save hautahitaji kukopa pesa na kulipa na riba ili ku deal na emergencies kama kusafiri kuzika unakua na pesa mkononi.
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment