Mhe Jokate Mwegelo ajipa ujiko kwamba yeye amefanya watu wengi wampende Harmonize

Mh. Jokate Mwegelo ambaye DC wa Kisarawe anasema yeye ndo amefanya watu wakampenda Harmonize

Mimi actually ndio nimefanya watu wengi wilayani kwangu wampende Harmonize.She further surprisingly reveals that Harmonize´s Kainama and Kwangwaru jams are their recent best hits:

Sasa hivi wimbo ambao tunaupenda ni Kainama na Kwangaru,

Na sio unafiki.

Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Mhe Jokate Mwegelo ameeleza kuwa yeye ndiye aliyefanya watu wengi wa Kisarawe wampende msanii Harmonize pia wapende kazi zake. Akizungumza na mwandishi kwenye futari iliyoandaliwa na Harmonize Wilayani Kisarawe, Mhe Jokate emesema kuwa amekuwa akitumia nyimbo za Harmonize kwenye matukio ya kijamii “Mimi actually ndio nimefanya watu wengi wilayani kwangu wampende Harmonize, Sasa hivi wimbo ambao tunaupenda ni Kainama na Kwangaru, Na sio unafiki sisi nyimbo zake tunazitwanga sana, maana yake ukiingia field lazima upige muziki kidogo. Sisi Kwangwaru, Kainama na hii Never Give Up tunaisikiliza kwa sababu inaamsha.” amesema DC Jokate. Hakumaliza hapo Mhe amemshauri msanii Harmonize aoe pia amemkaribisha kuwekeza Wilayani Kisarawe. . . . #MbagalaYetu #TagNaWanao 
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment