Mkuu wa TAKUKURU “Lazaro Nyalandu hatunae, amehusishwa na vitendo vya rushwa”

Mkuu wa TAKUKURU Mkoani Singida Msuya amesema “Sisi tulikuwa tunae kwa ajili ya mahojiano ya vitendo vinavyoashiria kufanyika mikutano isiyoruhusiwa inayohusishwa na vitendo vya rushwa, tumewaelekeza kwenye vyombo vingine vinavyohusika na udhibiti wa mikutano, sisi hatunae”.

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment