“Najisikia kama kujiua hivi” Ray C

Mkongwe kwenye tasnia ya muziki wa Bongo Fleva Rehema Chalamila maarufu kama ‘Ray C’, amewaacha wengi midomo wazi baada ya kuandika maneno ambayo hayakutegemewa kupitia insta story yake.

Kutokana na kile ambacho amekiandika Ray C wengi wamekitafsiri kuwa huenda akawa ana mawazo kuhsuaiana na safarai yake ya muziki au MaI
sha ya kimapenzi ikiwa ngoma yake ya mwisho kuiachia kupitia mtandao wa You Tube ni 
‘Roga Roga’ aliyoiachia rasmi October 26,2018


Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment