Rihanna Aja na Clothing line yake ya FENTY

Baada ya Muziki,Makeup line ,Line ya nguo za ndani sasa Rihanna anaendelea kukuza empire yake kwa kuja na a luxurious clothing line 

Rihanna ni mzuri sana kwenye mavazi na huwa napenda street styles zake anavaa vitu ambavyo wengi si rahisi kuvaa ni upendo wake wa fashion na kujaribu kua tofauti.
Nguo hizi amefanya collabo na Louis Vuitton Moet Hennessy.
Na hakutakua na runways bali atakua na drop out ambazo ni kama wanavyo amka usiku wa manane na kuachia nyimbo au Album sasa hii atafanya kwenye ngo zake.
Hizi ni nguo 18 kutoka kwenye collection hiyo.Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment