Spika Ndugai asitisha uwakilishi wa Mbunge Masele Bunge la Afrika

Spika wa Bunge Job Ndugai ametangaza kusitisha uwakilishi wa Mbunge Stephen Masele katika Bunge la Afrika hadi Kamati ya Maadili itakapokamilisha uchunguzi wa tuhuma zinazomkabili. Spika Ndugai amesema Masele ana matatizo ya kinidhamu na amekuwa akifanya mambo ya hovyo hovyo ikiwemo kugonganisha mihimili.
RAIS MAGUFULI ALIVYOKUBALI OMBI LA SHEIKH KISHKI “ATAKUWEPO TAIFA”

SOMA NA HIZI

TUPIA COMMENTS

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment