Ujembe wa Birthday kutoka kwa Jacqueline kwa Mumewe Dkt. Reginald Mengi

 Zimepita siku 27  tokea kifo cha Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni za IPP Dkt. Reginald Mengi kufariki mkewe ambaye ni Jacqueline Mengi amekuwa kimya kwenye mitandao ya kijami na leo ameandika ujumbe kwa mume wake ikiwa ni siku yake ya kuzaliwa.

“Leo tungekuwa tuna kusheherekea wewe, kama nikifumba macho yangu naweza kuona namna unavyo tabasamu pale tunapokuimbia heri ya kuzaliwa. Hakuna neno la kuelezea ni kiasi gani Mimi na watoto tulivyokukumbuka, kuamka kila siku bila wewe. Heri ya kuzaliwa mpenzi wangu wa kweli, milele mioyoni mwetu.” ameandika Jacquline kupitia ukurasa wa Twitter.

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment