Thamani ya pete Ben Pol aliyomvisha Anerlisa

Ben Pol kupitia Youtube Channel yake ameeleza mengi tusio yafahamu kuhusiana na mpenzi wake Anerlisa, Ben Pol amekanusha taarifa za Anerlisa kuwa mjamzito na kueleza kuwa alichokipost kilikuwa ni ndoto tu kuwa anatamani kuwa na watoto mapacha.


Kuhusu kumvisha pete ni kweli Ben Pol amekiri kukusudia kuingia nae katika ndoa na kuanza familia nae, ndio maana ameamua kuwa serious na kumvisha pete ya dola 11000 ambazo ni zaidi ya Tsh milioni 22, Ben Pol amesisitiza kuwa mahusiano yake na Anerlisa ni upendo tao tu ndio unawaunganisha na sio pesa.

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment