BigU pShilole azindua bidhaa mpya ya sabuni

Msanii wa muziki na filamu, Shilole Jumatatu hii amezindua bidhaa yake mpya ya sabuni iitwayo, Barox.

Verified

aliweka captionhiikwenyeinstagrama
Mapema leo nikiwa nazindua bidhaa yangu mpya ya Sabuni yangu inayoitwa Barox.

Tunafanya delivery bure kwa wateja wa Dar. Wasiliana na huduma kwa wateja kupitia namba 0744227124

Nitaendelea kuwajulisha namna ya kuzipata na kwa maelezo zaidi tembelea page ya Barox @baroxsoap
#KuwaMaridadiZaidi ๐Ÿ™๐Ÿ™ bidhaa yangu mpya ya Sabuni yangu inayoitwa Barox.

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment