Diamond alivyonusurika gonjwa la Ukimwi ‘Niliparamia sana wanawake, Tanasha ameniweza’

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz amewashauri vijana kutulia na wapenzi wao ili kujiepusha na maradhi ya UKIMWI kwani vijana ndio nguvu kazi ya Taifa.

Akiongea na Waandishi wa habari jana mkoani Tabora, Diamond amesema kuwa enzi za nyuma alikuwa na wanawake wengi lakini kwa sasa ameamua kuishi na Tanasha tu.
Diamond alikuwa mkoani Tabora kwenye tamasha la Wasafi Festival 2019 ambalo linadhaminiwa na tume ya kudhibiti Ukimwi nchini, TACAIDS
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.