Julius Mtatiro aula u-DC Tunduru

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemteua  Julius S. Mtatiro kuwa Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Mkoani Ruvuma.

Mtatiro anachukua nafasi ya Juma Zuberi Homera ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Katavi.
Uteuzi wa Mtatiro unaanza leo tarehe 14 Julai, 2019.
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment

Note: only a member of this blog may post a comment.