Mastaa wanaolipwa pesa nyingi zaidi ,Taylor Swift Ashika namba Moja

Jarida la Forbes limekuja na list ya majina 100 ya mastaa mbalimbali wanaopokea mkwanja mrefu zaidi na list hii imejikita kwenye vigezo vya mishahara, Dili za matangazo na biashara wanazofanya mastaa hao.
Kwenye orodha hiyo namba 1 imechukuliwa na Taylor Swift akiwa ameingiza USD Milioni $185, Kylie Jenner USD Milioni $170 na namba tatu ni Kanye West USD milioni $150.
Kwenye orodha hiyo, Rapper P. Diddy na Jay- Z hawapo kwenye Top 10 badala yake wameshika nafasi ya 28 na 20 kwenye Top 30.
Kwa upande wa michezo, Lionel Messi anayekipiga kunako klabu ya Barcelona ndiye mchezaji wa kwanza duniani, aliyeingiza mkwanja mrefu kwa mwaka 2019 ameingiza USD $127 na kushika namba 4 kwenye orodha hiyo ya Forbes.
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment