Baba Levo atupwa jela miezi mitano

Msanii wa Bongo Fleva na Diwani wa kata ya Mwanga, Manispaa ya Kigoma Ujiji kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Baba Levo amehukumiwa kifungo cha miezi mitano kwa kosa la kumshambulia Askari wa Usalama Barabarani.

Baba Levo
Mahakama ya Mwanzo ya Mwandiga Mkoani Kigoma, Wiki iliyopita ilimkuta na kesi ya kujibu Diwani wa Kata ya Mwanga, Revocatus Kipando (Baba Levo), Hii ni baada ya kutuhumiwa kufanya shambulio kwa Askari wa usalama barabarani akiwa kazini mnamo July 15, 2019.
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment