Dudu Baya Afunguka Mengi baada ya Kuokoka

Hivi karibuni Konki master Dudu baya, ameokoka kwenye kanisa la Mwamposa (bulldozer), akihojiwa na mwandishi wa Temu online TV, Dudu baya ameongea mengi, amezungumzia uadui mkubwa uliopo kwenye mziki, yeye mwenyewe akiwa ni mhanga wa fitina hzo, pia amewasamehe maadui zake lakn akitoa tahadhar isiwe sababu ya kumsingizia la sivyo atalala nao mbele.


Ameenda mbali zaid na kusema anachukia ushoga na hvyo ataendelea kukemea ushoga kadr mda utakavyoruhusu kufanya hvyo, Dudu baya pia ametoa tahadhar Kwa harmonize , kuwa kama amerubuniwa na watu bas ajiandae kuangukia pua, huku akitoa mifano ya wasanii waliorubuniwa kama aslay, rich mavoko n.k...

Na pia ametoa baraka Kwa harmonize endapo ametoka Wasafi Kwa nia njema, na hvyo kumtakia mafanikio mema, amemalizia Kwa kusema yeye sa hv ni kiumbe kipya akiongozwa na mwenyezi Mungu huku akitua mzigo mzito wa chuki Kwa maadui zake..
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment