Waziri Lukuvi awasimamisha kazi watumishi 183

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amewasimamisha kazi watumishi 183 wa Wizara yake kupisha uchunguzi wa tuhuma za kuingilia mfumo wa kukadiria na kukusanya kodi ya pango la ardhi kinyume na taratibu na kusababisha upotevu wa mapato ya Serikali
Waziri Lukuvi amemuelekeza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kuwasilisha orodha hii kwa Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU leo ili uchunguzi uanze mara moja.
Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment