Tunda "Najichukia Kwasababu Nimemuumiza Whozu Naomba Anisamehe Turudiane"

'Najichukia kwasababu nimemuumiza mwanaume muaminifu na mwenye kunijali haijawahi tokea. Kama unaweza tafadhali nisamehe, nakuhitaji kwenye maisha yangu. Nilikua na tabia za kitoto kwako, naona aibu kwaajili ya tabia zangu, tafadhali nisamehe. Upendo wako ni hamasa tosha, usinikatili nia yangu ya kuwa na wewe. Nakupenda sana, nisamehe **Whozu ', ameandika Tunda kupitia ukurasa wake wa Insta

Share on Google Plus

About mwanaidinuhu

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments/maoni:

Post a Comment